Rais azungumza na Tume ya uchaguzi (NEC)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Shein amekutana na uongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kusisitiza haja ya kuendeleza umoja na ushirikiano kati ya Tume hiyo na ya Zanzibar (ZEC) ili Tanzania iendelee kuheshimiwa

