Singida United yaonesha njaa Ikiwa kwenye msimu wake wa kwanza tangu irejee ligi kuu klabu ya Singida United, imezidi kuonesha njaa ya vikombe kwenye msimu wake wa kwanza, baada ya leo kufanikiwa kushinda mchezo wake wa FA dhidi ya Polisi Tanzania. Read more about Singida United yaonesha njaa