Simba kuanza leo jioni Vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya soka ya Simba inaanza mazoezi ya kujiandaa na mchezo wake wa kiporo raundi ya 19 ligi kuu dhidi ya Mbao FC ya Mwanza. Read more about Simba kuanza leo jioni