Bashe aungana na CHADEMA Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kulaani tukio la kikatili lililomtokea Katibu wa CHADEMA Kata ya Hananasif, Daniel John siku za hivi karibuni. Read more about Bashe aungana na CHADEMA