Tausi ataja sifa za mwanaume anae muhitaji

Tausi Mdegela.

Msanii wa filamu nchini Tanzania na Rais wa watoto, Tausi Mdegela amefunguka na kudai hawezi kuwa na mahusiano na mwanaume limbukeni wa kujionesha kwa watu kila kitu wanachokifanya wakiwa pamoja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS