Messi amkataa Ronaldo Nyota wa klabu ya Barcelona Lionel Messi amesema yeye na nyota wa Real Madrid Criatiano Ronaldo hawawezi kuwa marafiki wala hafikirii kama itakuwa hivyo baada ya wote kustaafu. Read more about Messi amkataa Ronaldo