TFF yatoa agizo kwa Dodoma FC Shirikisho la Soka nchini TFF limeitaka timu ya Dodoma FC kuwa wavumilivu katika kusubiri majibu ya rufaa zao kama wamefuata masharti kwani walitoa nafasi kwa timu zenye malalamiko kuweza kuyawasilisha. Read more about TFF yatoa agizo kwa Dodoma FC