Dk. Tulia asema sababu za hoja ya Peneza kushindwa
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amefunguka kwamba bunge halikukataa hoja binafsi ya Elimu bure pedi bure ya Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita, bali mchakato wa hoja hiyo ndiyo haukufikishwa ili ujadiliwe.

