Wanaonunua 'machangudoa', kushughulikiwa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne Muliro, amesema wanafikiria kuanza kuwakamata wanaume ambao wananunua wadada wanaojiuza (Machangudoa) katika mitaa mbalimbali ya Kinondoni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS