Ahadi ya Alikiba kwa mashabiki

Msanii wa Bongo Fleva Saleh Ali maarufu  kama Ali Kiba amewaomba radhi mashabiki wake na kuwaahidi kufungua mwaka kwa kishindo kufuatia kushindwa kufanya  tamasha la Funga Mwaka na King Kiba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS