Mwanamke auliwa kwa kuchomwa moto

Maafisa wa polisi katika mji wa kusini mwa India wa Hyderabad, wamesema, wamemkamata mwanamume mmoja baada ya mwanamke mmoja kuchomwa moto hadi kufa wakati wa mgogoro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS