Majaliwa awanusuru 19 wasikamatwe na RPC
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewanusuru viongozi 19 wa vyama vikuu vya ushirika vya mikoa ya Shinyanga (SHIRECU) na Mwanza (NCU) wasiende selo na huku akiwataka kuandaa taarifa ya mali za vyama hivyo ndani ya siku 23.