Mwalimu apangua tuhuma za Uzanzibar

Mgombea Ubunge  wa jimbo la Kinondoni (CHADEMA), Salum Mwalimu asesema kwamba hoja ya Uzanzibar inayokuzwa na wapinzani wake kwenye siasa hasa kipindi hiki cha uchaguzi si jambo jema na haifai kuingia kwenye mjadala kwani inaweza kulipasua Taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS