Man City mbioni kuvunja rekodi yake

Klabu ya Manchester City imefikia makubaliano na klabu ya Athletic Bilbao kulipa kiasi cha £57m  takribani shilingi bilioni 158 kwaajili ya kukamilisha usajili wa mlinzi wa kati wa klabu hiyo Aymeric Laporte.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS