JB afunguka alichofanya Kanumba Mkali wa Bongo Movie Tanzania Jocob Steven maarufu kama JB amesema kwamba marehemu Kanumba alikuwa mzuri katika kuigiza 'Movie' ila bado kuna watu wanafanya vizuri zaidi ya pale alipopaacha. Read more about JB afunguka alichofanya Kanumba