TFF yathibitisha FIFA kuweka mambo sawa

Shirikisho la soka nchini TFF limethibitisha kuwa mfumo wa usajili wa shirikisho la soka la Kimataifa FIFA umetengemaa baada ya kusumbua kwa siku kadhaa na sasa usajili kuendelea kama kawaida.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS