"Sikutaka hela ya mtu" – Wastara Msanii wa filamu wa bongo Wastara Juma ambaye hivi karibuni amepewa mchango wa milioni 15 na familia ya Rais Magufuli, amewajibu watu wanamtuhumu kuwa tapeli kwani hana ugonjwa unaomsumbua. Read more about "Sikutaka hela ya mtu" – Wastara