"Ruby anatafuta kisingizio" – Nandy
Msanii wa muziki wa kike hapa bongo ambaye hivi sasa ndio gumzo kwenye game, Nandy, amesema kitendo cha Ruby kusema kuwa kwake kimya alikuwa anampisha, alikuwa ana tafuta kisingizio kwani bado alikuwepo kwenye game.

