Baada ya kipigo, Azam FC yasafiri

Baada ya kupoteza mchezo wake wa raundi ya 15 wa ligi kuu soka Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC, klabu ya Azam FC imesafiri kuelekea Morogoro kwaajili ya mchezo wa kombe la shirikisho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS