''Hatuuzi bila kununua'' - Wenger Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema timu hiyo haitauza mchezaji bila kununua mchezaji huku pia akiongelea usajili wa Aubameyang kuwa bado haujakamilika. Read more about ''Hatuuzi bila kununua'' - Wenger