Rais Karia apata shavu CHAN Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limemtangaza Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Wallace Karia kuwa Kamishna wa mechi ya fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN. Read more about Rais Karia apata shavu CHAN