Chirwa leo kuendelea kuibeba Yanga ? Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Yanga SC, leo wanashuka dimbani kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam dhidi ya Njombe Mji huku ikiwa inamtegemea mshambuliaji Obrey Chirwa. Read more about Chirwa leo kuendelea kuibeba Yanga ?