Bingwa mtetezi hoi kwa Zanzibar Timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imetinga fainali ya kombe la CECAFA Senior Challenge baada ya kuwaondoa mabingwa watetezi Uganda kwenye mchzo wa nusu fainali uliomalizika jioni hii. Read more about Bingwa mtetezi hoi kwa Zanzibar