Fid Q akiri kuzama kwa huyu mrembo

Mkali wa HipHop Bongo Fid Q ameonekana kukamatika kimahaba kwa  mrembo ambaye amemtambulisha nyumbani kwao Mwanza na ameiambia eNEWZ kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano rasmi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS