CHADEMA yatoa neno kwa wabunge waliohama
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Vicent Mashinji amesema wao hawana shida na suala la baadhi ya wanachama na Wabunge wa chama hicho kutimkia CCM kwa sababu wanatumia haki yao ya kikatiba.