Polepole amtahadharisha Lema Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole amemtahadharisha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwakumwambia kuwa kipindi hiki ni cha mwisho kuongoza Jimbo hilo la Arusha Mjini. Read more about Polepole amtahadharisha Lema