Tanzania kuandaa mkutano wa FIFA Shirikisho la soka nchini TFF limethibitisha kuwa Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa Shirikisho la soka la Kimataifa FIFA utakaofanyika Februari 22. Read more about Tanzania kuandaa mkutano wa FIFA