CHADEMA wafichua ya 2018
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe amesema mwaka 2018 ni mwaka ambao chama chake kitakuwa na kipaumbele cha kuhakikisha kinaisimamia serikali ili kupatikane kwa Tume Huru ya Uchaguzi pamoja na Katiba Mpya.