JPM aahidi kulinda alichokianzisha Nyerere

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema hawezi kuifuta Jumuiya ya wazazi ya Chama hicho katika kipindi chake cha kuwa Mwenyekiti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS