Mwana FA atoa siri chanzo cha bifu na Jide
Msanii Mwana FA ambaye hivi karibuni amemaliza tofauti zake na msanii mwenzake lady Jaydee, ameweka wazi jibu la kitendawili ambacho wengi walikuwa wakijiuliza, juu ya chanzo cha ugomvi wao uliowapelekea kuwa mahasimu.