Kili kupanda ndege, Zanzibar kucheza nusu fainali Timu ya taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars imeaga rasmi michuano ya CACAFA kwa kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji Kenya na kuwaacha wenzao Zanzibar wakiisubiri Uganda kwenye nusu fainali. Read more about Kili kupanda ndege, Zanzibar kucheza nusu fainali