Messi atamalizia kiporo chake ? Shirikisho la soka barani Ulaya leo limefanya droo ya kupanga mechi za hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA ambapo Mabingwa watetezi Real Madrid wataanzia Bernabeu kuikaribisha Paris Saint-Germain PSG. Read more about Messi atamalizia kiporo chake ?