Wasanii waipa heshima Planet Bongo

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Sogy Dogy na Ben Pol, wamekishukuru kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, kwa kuonyesha uzalendo na kusapoti muziki wa wasanii wa nyumbani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS