Hatima ya waliofukuzwa kwa vyeti feki
Shirikisho la Vyama Vya wafanyakazi Nchini, TUCTA, limetangaza kwamba, hatma kuhusu kulipwa kifuta jasho kwa wafanyakazi walioondolewa kwenye utumishi kwa vyeti feki itatolewa kati ya mwezi Machi na Aprili mwaka huu.

