Sababu ya Guardiola kustaafu Kocha wa Manchester City Pep Guardiola, amesema atastaafu kufundisha soka endapo kitafika kipindi ambacho timu atakayokuwa anaifundisha itashindwa kucheza mfumo wake wa kumiliki mpira yaani (TIKTAKA). Read more about Sababu ya Guardiola kustaafu