Lema atuma maombi kwa Magufuli Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. John Magufuli kuwafuatilia mahabusu waliokaa magereza muda mrefu bila kesi zao kukamilika. Read more about Lema atuma maombi kwa Magufuli