Sioni wa kum-replace Magufuli - Bushoke
Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye ni rafiki kipenzi wa Papii Kocha mfalme mtoto wa Babu Seya, Bushoke Rutta, ameelezea furaha yake baada ya kusikia rafiki yake huyo ameachiwa kwa msamaha wa Rais, na kwamba ametimiza ndoto zao.