Mbunge aapa kujiuzulu Mbunge wa Nyando Jared Okello (kushoto) akikabidhiwa cheti cha ushindi wa ubunge Agosti 2017. Mbunge wa Nyando nchini Kenya Jared Okello ametishia kujiuzulu ikiwa kiongozi wa upinzani ( NASA) Raila Odinga hataapishwa kuwa Rais wa wananchi. Read more about Mbunge aapa kujiuzulu