CHADEMA yampongeza Magufuli

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimechukua hatua ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kwa kitendo cha kuwasamehe wafungwa wakiwemo Babu Seya na mwanae Papii Kocha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS