Majirani Ruvuma watahadharishwa ugonjwa Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Solomon Mndeme, ameipa tahadhari mikoa ya jirani dhidi ya ugonjwa hatari ulioukumba mkoa huo, wa kushambuliwa kwa mazao na wadudu. Read more about Majirani Ruvuma watahadharishwa ugonjwa