Rais amtoa Babu Seya na mwanae Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasamehe familia ya mwanamuziki Pappi Nguza Viking ambao walikuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha. Read more about Rais amtoa Babu Seya na mwanae