"Siendi kuwa Mbunge wa CHADEMA"- Salum Mwalimu

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Salum Mwalimu.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Salum Mwalimu amedai hawezi kwenda Bungeni kuwa Mbunge wa CHADEMA bali yeye anataka kuwa Mbunge wa wananchi wote bila ya kujali vyama vyao. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS