Waziri aagiza Hospitali ziwe na bustani
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amevitaka vituo vyote vya Afya Nchini pamoja na hospitali za Wilaya kutengeneza bustani za kupumzikia wagonjwa wanaosubiria matibabu.