Kilimanjaro Stars kufanya miujiza CECAFA
Baada ya timu ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars kupoteza mchezo dhidi ya Zanzibar Heroes kwenye michuano ya CECAFA Senior Challenge hapo jana kocha mkuu Ammy Ninje amesema bado timu hiyo ina nafasi ya kufanya vizuri.