Ronaldo atoa kauli baada ya kutwaa tuzo
Nyota wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amesema anataka kumalizia soka lake ndani ya Madrid baada ya usiku wa kuamkia leo, kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2017 (Ballon d'Or) ambayo hutolewa na (FFF).