Magufuli afunguka kuhusu kuongeza miaka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameweka wazi kuwa hana mpango wowote wa kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5-7 na pia hafurahishwi na mijadala hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS