JPM abariki taasisi kukatiwa maji
Rais John Magufuli amesema kuwa takwimu zinaonyesha kuwa Kiwango cha mita za ujazo za maji kwa matumizi ya mtu mmoja kitapungua hadi kufikia mita za ujazo 883 ifikapo mwaka 2035 kutokana na uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji.

