AUDIO : Bball Kings Kuleta mapinduzi chini
Michuano ya Sprite BBALL KINGS yaliyoanzishwa na EATV LTD, kushirikiana na Sprite yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Juni 3 yametajwa kuja kufanya mabadiliko ya mpira wa kikapu hapa nchini pia kutoa changamoto kwa viongozi wa mchezo huo.

