Simbu kuibeba Tanzania jijini London leo?

Alphonce Felix Simbu

Mwanariadha pekee wa Tanzania Alphonce Felix Simbu, leo Jumapili ataibeba bendera ya Tanzania kwenye  mashindano ya London Marathon yanayofanyika jijini London. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS