Simba ilipoamua kusitisha maandamano!
Siku moja baada ya kutangaza maandamano ya amani ambayo yangefanyika siku ya Jummane tarehe 25 mwezi huu. Klabu ya Simba imeamua kusitisha maandamano hayo baada ya kuona nia na dhamira njema ya serikali kutaka kushughulikia sintofahamu inayoendelea b